-Emmanuel Kombe Nzai ambaye ni mgombea mwenza wa Dr Ekuru Aukot wa Chama cha Thirdway Alliance Kenya asusia kampeni ya chama hicho huku Mariam Shekh mwanachama wa NEC akijiuzulu.
-Hii ilidhihirika wazi juma lililopita pale Bw Nzai alipojitenga na roadshow na kampeni zao kule Mombasa,Pwani.
-Ni jambo la kushangaza kwamba hata baada ya Mwenyekiti wa IEBC kusema hakuna uhakikisho wa uchaguzi huru na haki bado mgombea huyo ameapa kushiriki uchaguzi huo.
-Kufuatia Mgawanyiko wa chama hichoTetesi zinadai kwamba Bw.Ekuru hasimamii Manifesto ya chama hicho isipokuwa tamaa zake za kibinafsi.
No comments:
Post a Comment