Friday, 27 October 2017

TANZANIA: MUIGIZAJI ELIZABETH LULU APATIKANA NA HATIA YA KUMUUA BILA KUKUSUDIA STEVEN KANUMBA


- Kesi inayomkabili muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ hapo Alhamisi Oktoba 26,2017 ilisikilizwa Mahakamani ambapo washauri watatu wa Mahakama kuu wamesema mshitakiwa Lulu aliua bila ya kukusudia.
- Baada ya kusikiliza maoni ya baraza la wazee leo Mahakama kuu ya Tanzania, imesema Elizabeth Michael amekutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia, muigizaji mwenzake Steven Kanumba ambaye alikuwa mpenzi wake na hukumu yake itatolewa Novemba 13.
- Lulu ndiye mtu wa mwisho kuwa na Kanumba.
                                                                           


No comments:

Post a Comment