Sunday, 29 October 2017

LIVERPOOL - "KINA MAMA ULEZI HAUNA MWISHO" #WishInTheMorning


Nyanya miaka 98, ajiunga na na mwanawe wa kiume Mwenye miaka 8.
-Ada Keating sasa amekuwa mkazi wa Kituo cha wazee cha Moss View care home Huyton, Liverpool.
-Nyanya huyo mwenye miaka 98yrs aliamuwa kujiunga na mwanawe wa kwanza Tom ili kumpa upendo na malezi zaidi.Wawili hao mama na mwanawe wamekuwa na ukaribu wa kipekeye kwa sababu Tom Hakuwahi kuowa na amekuwa akiishi na Ada maisha yake yote.Penzi la Kweli la Mama Kwa Mwanawe Haliishi.Tuumpe Mama Pongezi.BARIKIWA
                                                                     


No comments:

Post a Comment