Mgombea wa urais Dida akashifu maombi yake Rais Uhuru Kenyatta na kusema kuwa niya kinafiki. Kulingana naye Dida viongozi wanafiki lazima kwanza wa tubu kabla ya kuregelea Mungu. Dida alisema kuwa wananchi wanalia kwamba wameibiwa mali zao kwa hivyo ni wajibu wake Uhuru kurudisha ikiwa ni mashamba ya wakenya ama pesa kama alichukua za wakenya arudishe ndio aende kwa mwenyezi Mungu kumuomba. Wengi wa wakenya walimuunga mkono Dida nakumsifu kwa kuongea ukweli.
JE UNAKUBALIANA NAYE DIDA??
No comments:
Post a Comment