- Gazeti la Tanzania Daima limepigwa marufuku kwa siku 90 kwa madai ya kuchapisha habari za uongo.
- Akitangaza marufuku hio msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dr Hassan Abbasi, alisema kupitia kwa mtandao wake wa Twitter kwamba "Serikali ya Tanzania imepiga marufuku gazeti hilo kwa kuendelea kuchapisha habari za uongo wakati mwingi".
No comments:
Post a Comment