Friday, 27 October 2017

KENYA- NYOTA NDOGO AFICHUA MAOVU ANAYO TENDEWA NA FAMILIA YAKE

LOl! MSANII NYOTA NDOGO AFICHUA MAOVU ANAYO TENDEWA NA FAMILIA YAKE
- Akifungua moyo wake katika mtandao wake Twittter, Nyota alidai kuwa amechoshwa na mambo anayopitishiwa na familia yake haswa mamake mzazi kwakuto mpenda hata baada ya yeye Nyota kumpenda mamake na kumpa kila kitu na kumwangalia mamake na mahitaji yake yote ila mamake bado humsema vibaya Nyota kama ambaye si mwanawe.
- Nyota alisema kuwa kakake mkubwa ndiye chanzo kikubwa cha yeye kutopendwa na mamake maana hata humsengenya na kumsema akiwa naye mama yao na pia kaka huyo humtakia nyota mabaya na hufurahikia sana Nyota anapopitia shida.
“NATAKA MUNIELEWE SIMCHUKII MAMAANGU NAMPENDA MAANA AMETULEA NA SHIDA.NI WAKATI WETU SISI KUMUANGALIA YEYE LAKINI ASICHAGUE MTOTO HUYU BORA MTOTO HUYU SIO BORA.NDIO MAANA NIMEFANYA MENGI SANA MAANA WATOTO WENGINE UKIMBIA WAKAWACHA FAMILY BUT MIMI HATA KUTOTAKA KUJA KUISHI DANMARK NIKWAAJILI YA MAMANGU NAONA ATAPATA SHIDA.LAKI DADA ZANGU WAMEKUA WAVIVU WAKUFANYA KAZI KWAKUA NYOTA ATAMLETEA MAMA NA AKIMLETEA MAMA SISI PIA TUTAKULA.SO MIMI NIKIWA SINA WOTE WAPO TU.” asema Nyota.

                                                                         

No comments:

Post a Comment