Saturday, 21 October 2017

KENYA- Deputy Chief Justice Philomena Mwilu Vs PS Monica Juma

Ni picha ambayo imesambaa katika mitandao ya kijamii picha ambayo inamuonyesha PS Monica Juma akionekana kuonyesha kutoridhishwa kwake naye Deputy Chief Justice Philomena Mwilu walipokuwa wamekaa mahala pamoja siku ya Mashujaa Ijumaa. Jaji Mwilu alikuwa miongoni mwa majaji watano wa mahakama ya juu waliopitisha kupingwa kwa ushindi wake uhuru Kenyatta kama rais katika uchaguzi wa 8/8/2017. Wengi wakidai kuwa PS Juma bado anaonyesha kuchukizwa naye Jaji Mwilu ambaye alionekana kutotetemeshwa na hisia zake PS Juma.
UNALIZUNGUMZIAJE....
                                                                       


No comments:

Post a Comment