Thursday, 19 October 2017

KENYA-JUBILEE PARTY WOMEN ATTIRE

Ni mavazi ya kinamama wa Jubilee ambayo yamezua gumzo mitandaoni kwa kuvalia kama jeshi la Kenya. Wengi wakidai kuwa ni kinyume cha sheria za Kenya kuvalia mavazi ya jeshi la Kenya. Kina mama hao wa chama cha Jubilee lengo lao nikusukuma kuteuliwa tena kwake Rais Uhuru Kenyatta.
UNALIZUNGUMZIAJE...






No comments:

Post a Comment