Wednesday, 18 October 2017

INDIA: Wasamaria wema wamuokota mtoto aliye tupwa na wazazi wake kwa Kuzaliwa MKE.

INDIA: Wasamaria wema wamuokota mtoto aliye tupwa na wazazi wake kwa Kuzaliwa MKE.
http://wishfmradio.blogspot.co.ke/
- Mtoto huyo anadaiwa kutupwa na wazazi wake waliokuwa wanataka mtoto wa kiume.
- Polisi huko India walisema mtoto huyo alitupwa kwenye pipa la taka huku akiwa amejaa tele wadudu. Wazazi wake walitaka mtoto wa kiume wala sio wa kike ndio wakamtupa.
http://wishfmradio.listen2myradio.com/
http://www.ustream.tv/channel/wishfmnairobi/

                                                                 




No comments:

Post a Comment