Wednesday, 18 October 2017

COLOMBIA-LOl! Jamaa Aoza Uso baada ya kufanyiwa upasuaji ilikutaka kuwa kama mwanamke!

- Jamaa mmoja ajuta sasa baada ya kufanyiwa upasuaji ambao umemwacha sasa uso wake kuoza.
- Jamaa huyo kutoka Colombia anasemekana kuoza uso wake baada ya upasuaji wake kufanywa na daktari bandia.
- Kijana huyo kwa jina,Trujillo, wa miaka 28 anasemekana kufanyiwa upasuaji mara 4 ilikujiregesha katika hali yake yakawaida aliyokuwa ila bila mafanikio sasa anasubiri kufanyiwa upasuaji mara 2 tena.
                                                           









No comments:

Post a Comment