Wednesday, 18 October 2017

ATLANTA-Mama awaua wanawe wawili kwa kuwaweka ndani ya Tanuri 'oven' (kiokeo)

- Mama mmoja wa miaka 24 amepatikana na hatia baada kuua watoto wake kwa kuwaweka ndani ya oveni kisha kuiwakisha moto.
- Bi Lamora Williams, mama wa watoto wanne alishikwa kwa kosa la kuua watoto wake, Ja’Karter Penn mwaka 1 naye mtoto Ke-Yaunte Pennwere miaka 2 nyumbani kwake Atlanta.
- Vijana hao wawili walipatikana na polisi wamefariki wakiwa na majeraha ya moto mwilini mwao siku ya Ijumaa.
                                                         




No comments:

Post a Comment