Wednesday, 18 October 2017

KILIFI COUNTY: Pastor Paul Makenzi naye mke wake Joyce Mwikamba washtakiwa kwa kosa la kueneza itikadi mbaya.

- Mchungaji huyo Makenzi wa Good News International Ministries Church alitoa mafunzo kwa watoto 93,walio kati ya miaka 4 na 13 pamoja na watu wengine 19 mafunzo ya kukataa kuenda shule akisema kuwa BIBILIA haija sema na imekataa watu kusoma.
- Ni mafunzo ambayo yamewafanya vijana wengi katika eneo hilo la Furunzi, Malindi, wengi wakiwa shule za upili kuacha shule na kufuata injili kulingana na kanisa lake linavyo sema.
- Wazazi katika eneo hilo wamelalamikia ongezeko la vijana wakike na wakiume kukataa kusoma kutokana na mafunzo ya pastor huyo.
                                                         



                                 


No comments:

Post a Comment