Wito umetolewa na wakaazi wa eneo la Chonyi kwa mashirika ya siokuwa ya kiserikali, watu binafsi pamoja na wajumbe kujitolea kusaidia watoto wa shule ya msingi ya BEMBO CHONYI kupata madawati.
- Watoto hao husoma wakiwa wamekaa chini sakafuni.
http://wishfmradio.listen2myradio.com/
http://www.ustream.tv/channel/wishfmnairobi/





No comments:
Post a Comment