Nani unajua bado haja oa na ungependa apate kuoa haraka.....
Wednesday, 18 October 2017
KENYA-Billionare Jimmy Wanjigi Father On Marriage ....Pleeease Get Married!
Ni maneno yake Baba mzazi wake bilionea Jimi Wanjigi alipotoa hotuba yake wakati wakieleza yaliyomfika mwanawe. Mzee aliuliza vijana ambao hawana mabibi, ambao bado hawaja oa wapate kufanya vivyo. Mzee alitamka hivi wakati akimsifu mke wa Jimi kwa jinsi alivyopigania mume wake wakati ule mgumu alipo jaribu kupambana na polisi. Je mke wako anaweza kufa nawe??
Nani unajua bado haja oa na ungependa apate kuoa haraka.....
Nani unajua bado haja oa na ungependa apate kuoa haraka.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment